DP- DEMOCRATIC PARTY ni Chama Kizuri Sana Cha Mtikila

Synonyms MP

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2024
Posts
320
Reaction score
346
Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM,

Mbowe aendelee tu na SACCOS yake.

Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM wakiwa njiani wakitembea kwa Miguu.

Asanteni.
 
Angekuwepo asingempokea yeyote toka vyama vingine
 
Mnadhan mtaingia tu kichwa kichwa mlete porojo kwenye taasisi za watu.
 
Wajumbe IIKOENI CHADEMA kwa kumchagua TUNDU LISSU na JOHN HECHE.✌️
Wajumbe wanajali kwanza matumbo yao na sio chama kama unavyofikiria.

Imagine mtu anaahidiwa ubunge wa maridhiano, anapewa hela za kumalizia mjengo wake Salasala, mkewe anauhakika wa kupewa viti maaalum baada ya uchaguzi mkuu.

Halaf wewe unamwambia habari za kuokoa chama atakuelewa kweli na njaa hii?
 
Watatoa ahadi hiyo kwa wajumbe 1200?
 
Wajumbe wanajali kwanza matumbo yao na sio chama kama unavyofikiria.

Imagine mtu anaahidiwa ubunge wa maridhiano, anapewa hela za kumalizia mjengo wake Salasala, mkewe anauhakika wa kupewa viti maaalum baada ya uchaguzi mkuu.

Halaf wewe unamwambia habari za kuokoa chama atakuelewa kweli na njaa
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Mbowe na wajumbe wake October mambo yatakuwa hivi.
 
Kumchagua Mbowe ni kuikabidhi Chadema kuwa kigango cha CCM . Kataa CCM kataa Mbowe.
 
Back
Top Bottom