Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Wajumbe wanajali kwanza matumbo yao na sio chama kama unavyofikiria.Wajumbe IIKOENI CHADEMA kwa kumchagua TUNDU LISSU na JOHN HECHE.✌️
Watatoa ahadi hiyo kwa wajumbe 1200?Wajumbe wanajali kwanza matumbo yao na sio chama kama unavyofikiria.
Imagine mtu anaahidiwa ubunge wa maridhiano, anapewa hela za kumalizia mjengo wake Salasala, mkewe anauhakika wa kupewa viti maaalum baada ya uchaguzi mkuu.
Halaf wewe unamwambia habari za kuokoa chama atakuelewa kweli na njaa hii?
Wajumbe wanajali kwanza matumbo yao na sio chama kama unavyofikiria.
Imagine mtu anaahidiwa ubunge wa maridhiano, anapewa hela za kumalizia mjengo wake Salasala, mkewe anauhakika wa kupewa viti maaalum baada ya uchaguzi mkuu.
Halaf wewe unamwambia habari za kuokoa chama atakuelewa kweli na njaa
Ahadi inaweza kuwa kwa wachache lkn mshiko wa kumpitisha mwenyekiti wakaupata wote.Watatoa ahadi hiyo kwa wajumbe 1200?