masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli.
"Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa kutokana na msimamo wa wafuasi na viongozi wa ODM, kama ilivyo kwa upande wa Ruto, mvulana kutoka Sugoi.
Lakini leo, kilichotokea ni kama usaliti wa waziwazi, unafiki, na uzandiki wa siasa.
Ndio, ni usaliti; Raila amesaliti Gen Z, huku kina Joho wakiwa wanafiki na BABA, lakini pia Ruto akiwa mzandiki.
Harakati yote ya Gen Z ni kuwapeleka hawa jamaa mjini?
Hata siamini, lakini hata hapa nyumbani watu walienda kunywa chai na kusahau mengi ya nyuma.
Wanasiasa sio hata wa kuwafikiria kwenye harakati yoyote, na ndio maana walimwambia Baba akae nyumbani.
Jamani, siasa za Kenya sio za kuweka rohoni, hasa Raila akiwa bado hai. Tangu enzi za Moi, RAILA RAILA ni conman huyu jamaa.
Hata siamini, kweli Gen Z wamempeleka huyu jamaa mjini.