DP Gachagua: Mfumo wa Elimu ya Vyuo Vikuu haujibu mahitaji ya Soko na umepitwa na Wakati Ufumuliwe wote usukwe upya

DP Gachagua: Mfumo wa Elimu ya Vyuo Vikuu haujibu mahitaji ya Soko na umepitwa na Wakati Ufumuliwe wote usukwe upya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu wa Rais wa Kenya mh Gachagua amesema Mfumo wa Elimu ya Vyuo Vikuu haujibu mahitaji ya Soko na umepitwa na Wakati

Gachagua anetaka Mfumo huo Ufumuliwe na kusukwa upya ili uendane na bali ya sasa ya Dunia

Source Citizen tv
 
Shida siyo mfo wa elimu. Ni mtazamo uliopo kwenye jamii. Wengi wanajua mtu anaposoma Basi hatima yake ni ofisini. Ukifutika kichwani mtazamo huu vijana wasomi watajitengenezea ajira na watatoboa
 
Shida siyo mfo wa elimu. Ni mtazamo uliopo kwenye jamii. Wengi wanajua mtu anaposoma Basi hatima yake ni ofisini. Ukifutika kichwani mtazamo huu vijana wasomi watajitengenezea ajira na watatoboa
Anaposoma nini?
 
Sasa ukisoma uboharia utajiajiri wapi?
Nunua vessel yako uiendeshe.

Halafu siyo lazima ufanye kazi ya kile ulichosomea.

Mr Bin ana shahada ya uhandisi wa umeme lkn ni mchekeshaji maarufu duniani.

Vanessa Mdee ana shahad ya sheria lkn ni mwanamuziki
 
Back
Top Bottom