johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ifumuliwe na kusukwa upyaHata katiba ya bongo imepitwa na wakati haijibu matatizo ya watanzania
Anaposoma nini?Shida siyo mfo wa elimu. Ni mtazamo uliopo kwenye jamii. Wengi wanajua mtu anaposoma Basi hatima yake ni ofisini. Ukifutika kichwani mtazamo huu vijana wasomi watajitengenezea ajira na watatoboa
Chochote!Anaposoma nini?
Sasa ukisoma uboharia utajiajiri wapi?Chochote!
Nunua vessel yako uiendeshe.Sasa ukisoma uboharia utajiajiri wapi?