Dp World has come to "The Road of No Return !

Dp World has come to "The Road of No Return !

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
421
Reaction score
728
( Hadithi ya Zamani)
The Road of No Return 😡..
in Swahili.
Kuna Kijiji kimoja kilikuwa na Uhaba wa maji Sana ' Sasa viongozi wa Kijiji wakaamua kuchimba kisima Cha maji ili waweze kupata maji ya kutosha
Tatizo nilikaje kwenye ardhi Yao kulikuwa hakuna uwepo wa maji chini ya ardhi Ila kwenye Kijiji Cha jirani kulikuwa maji chini ya ardhi Ila shida ikaja Hadi kufika kwenye Kijiji Cha Pili yake Ni mwendo wa kilomita 4.5km Hivi..Hadi kufika huko.
hapo Kati Katika Kuna milima mikubwa na midogo kwenye hiyo milima Kuna mzee anaishi huko na mifugo yake Mingi sana.
Sasa ilikuwa hivi kile Kijiji ambacho kilikuwa hakina maji kilitegea maji kutoka kijiji Cha Pili lakini hapo katikati kuna Huyo mzee Anaye fuga wanyama na ili uweze kupita kwenda Upande wa Pili kuchota maji ni lazima upeleke mzigo wa majani ya mifungo Kama gate pass./ Chakula Cha mifugo yake.
Sasa ikawa ndio mchezo uliopo muda wote' Basi wanakijiji wakakubaliana kuchimba mfereji mkubwa kutoka kijiji cha pili Hadi kijini kwao utaokao pitisha maji.
..hivyo wakaenda kuongea na watawala wa Kijiji Cha Pili wakakubali kwa Mashariti ya kupewa kumiliki baadhi ya maeneo ya Kijiji kile kisicho kuwa na maji. Wakakubaliana tu vizuri.
Tatizo likaja watachimba vipi Huo Mfereji angali kuna milima ili kuruhisu maji yapite? Ukizingatia yule mzee wa mifugo Anafaidika na shida ya Kijiji Cha Pili kukosa maji ndio mifugo yake inapata kushiba.
Sasa kumbe yule Mzee alikuwa na washauri wake walio kuwa ndani ya Kijiji ikifika siku ya kuchimba kisima wao ndio walikuwa wanashauri jinsi ya kuchimba kisima na kichimbwe wapi ndio maana maji yalikuwa yanakosekana siku zote za uchimbaji kisima na ndio maana maji yalikuwa yanakosekana siku zote kwenye Kijiji kile.
Wakati wa ukame ulipo fika ndio wanakijiji wakawa hawana jinsi zaidi ya kuamua kuchimba mfereji kutoka kijiji Cha Pili Hadi kijijini kwao mrereji mkubwa wa kuupitisha maji.
Ila ikumbukwe kuwa ndani ya Kijiji Chao Kuna maji Ila mamluki ndio wanakwamisha maji yasipatikane .sasa leo wanakijiji wameamua kwenda kuomba ushauri wa njia ya mfereji kwa mzee anye ishi milimani na mifugo yake ..kuwa wapitishe wapi huo' mfereji wa maji!
Hapo ndio Hadithi ya The Road of No Return 😡 inaanzia.
Unahisi watafanikiwa?
... itaendelea.
 
Ila Job alishatabiri nchi kuuzwa kabla ya kuondolewa kwa vichambo kwenye kile kiti chake cha enzi.
Haaha labda Alikuwa jikoni huko akaona na akakurupuka kwa emotional Sasa.. hivyo siwezi sema Ni utabiri !
Hapa Ni Hadithi ya zamani.
The Road of No Return 😡
 
Leo hata Wanaotumia Simu za Tochi,wasiofika huku mitandaoni wamepata fursa ya kujua Waraka wa Maaskofu umeeleza nini...?
 
Tamko la TEC litakuwa limeshamfikia mwarabu
 
Back
Top Bottom