Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Acha waseme mkataba wa ovyo. Ingawa ninachojua kilichowekwa sahihi na kupitishwa na Bunge ni makubaliano ya serikali 2 ili kuruhusu makampuni yao kuingia kwenye mikataba, kwa kuwa makampuni yote ni mali ya serikali zao. (DPWORLD na TPA)
Nasema karibu DP WORLD. Nchi yetu usipokuwa kwenye dili basi kinachofanyika ni kibaya. Hofu ni dili. Maana wapingaji wanazijua hizo dili.
1. Dpw karibu uongeze ufanisi wa bandari yetu.
2. Uko Rwanda kwa sasa hakikisha mizigo yote ya Rwanda unayokusanya nje ya nchi inapita bandari ya dar.
3. Ongea na Congo ukafungue yard congo ili uhakikiahe mizigo yote ya congo inapita dar.
4. Usisahau kuwaomba Congo ufungue yard Goma ili mizigo yote utakayokusanya nje ipitie dar port.
5. Usisahau kufungua yard China ukusanye mizigo ya China ipite dar uishughulikie iende kunakohusika.
6. Usisahau kushirikiana na Silent Ocean akupe mizigo yake. Ikiwezekana ingia nae ushirika ili kuwe na mtiririko mzuri wa mizigo kutoka inakotoka, usimsahau KC wa uk na Tz.
7. Ujenge jengo la gorofa hata 10 ili magari yapaki bandarini. Yakitoka nje yanaibiwa vifaa. Mbona meli inabeba magari kwa magorofa? Jengo libebe magari 10,000
8. Urekebishe mfumo ili meli ikishatoka bandari ilikopakiliwa mzigo, manifest ipatikane tz. Uachane na mfumo wa sasa wa manifest kupatikana baada ya meli kuondoka bandari ya mwisho. Hii itasaidia mawakala kulipia mpaka port charges kabla ya CARRY IN END. Itapunguza msongamano.
9. Wakuruhusu ukapanue mpaka wa Tunduma ili ziwe njia nne kwenda na nne kurudi ili kupunguza masongamano.
10. Zambia ikuruhusu ujenge yard ya kupokelea mizigo nakonde ili kusiwe na msonomamo mpakani. Kwa nini zambia isubiri mzigo ulipiwe ndio uruhusiwe kuingia. Uingie ukae kwako nakonde, wa kulipa kodi alipe achukue mzigo wake.
Manufaa ni mengi kuliko mauzo na rushwa inayolalamikiwa. Tumechelewa. Hela zako lazima utoe masharti. Sisi ndio tunakuhitaji. Leta hela uwekeze. Ukishindwa tutakuondoa.
NIWAKUMBUSHE
TPA iliwahi kuwa na DRY PORT ISAKA, Kahama. Nzuri tu. Kwa mizigo ya Rwanda na Burundi.
Kwa hila na desturi yetu. Ikahujumiwa ikafa. Mzigo wa Rwanda na Burundi ulikuwa ukifika dar port unaenda kwa treni Isaka. Wanakuja kuuchukua pale. Maneno na hujuma zikaziua. Malori ya wakubwa yase kazi?
Tumewahi kuruhusu Malawi wakawa na Malawi Cargo Centre, hawa Malawi Cargo walikuwa na DRYPORT Mbeya. Zambia wakawa na ZAMCARGO. Wakajenga wao wenyewe.
Mnakataa nini DP WORD isijenge miundombinu ya kisasa zaidi ya MALAWI CARFO na ZAMCARGO? Mbona hatukulalamika kuwa Zambia na Malawi wanachujua ardhi yetu? Je, tuliwamilikisha ardhi, hapana.
Tunasahau tu.
DP WORLD KARIBU SANA
Kote kunahitaji uwekezaji mkubwa. Leta hela BENKI KUU YETU tuzione uanze kuzitumia.