SI KWELI DP World waomba kuvunja mkataba wake na Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hata mimi nakushangaa kama haujui kuna hotel ya kifahari sana inajengwa na kiongozi mzito sana hapa nchini.
Hujajibu swali 'hiyo hoteli ina uhusiano gani na Dp world?.. hiyo hoteli hata angejenga kiongozi mzito kutoka nje ya nchi hakuna shida...... anyway siku njema
 
Wavunje tu na wawashitaki waliowahonga hizo pesa kwa kosa la utapeli.
 
Pale juu imeandikwa NADHARIA

Je hizo dola Miliyoni 100 zinatuhusu nini sisi?
Wanataka wajue kuwa walilipwa na ni wivu kuna watu walikuwa wanataka wagaiwe na wao waseme bado hatujamaliza
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?"
 
Serikali ya Huyo Bibi yenu ni serikali ya kipumbavu kuwahi kutokea
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?"
 
Hata hiyo bibi wambebe tu wakamshtaki huko kwao, sie tutachagua mwingine.
 
Vyovyote vile mkataba huo urekebeshwe uendane na kulinda mali za watanzania na si kupigwa mnada na kupora kabisa.
 
Wanataka kurudisha pesa zao walizohonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…