DPF REGENERATION

DPF REGENERATION

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Nafanya DPF regeneration kwa gari zote za diesel zenye mfumo wa DPF kwenye exhaust kwa bei rafiki tu
Kama wew mostly ni trip town at least kwa mwezi ufanye DPF regeneration mara moja call me 0716495541-muharami
Karibuni
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-21-13-07-45-414_com.ovz.carscanner.jpg
    Screenshot_2024-12-21-13-07-45-414_com.ovz.carscanner.jpg
    167.9 KB · Views: 9
Bei?

Hiyo screenshot uliotuma ni gari unayoifanyia kazi? Maana iyo regen distance kafika pabaya mwambie.
 
Hivi dpf si unaweza jifanyia mwenyewe tu. Unatenga kasafari hata ka msata tu afu ukirudi gari mpya ama?
 
Leo nimefanya ligi na Mazda CX5 kutoka singida Hadi igunga hakika Mazda iko vizuri Sana kwenye mbio.
Ile Mazda imenitoa jasho na Subaru yangu
 
Back
Top Bottom