Pole Sana Mkuu.Hivi umeshindwa kuandika RISITI badala ya LISITI yaani huwa nakereka nikiona wanaochanganya R na L
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajuaje kwamba hiyo siyo ya kichina? .Tunapiga hapaView attachment 1336017
Kwa Wafanyabiashara!
Najua Mobile printer nyingi mnanunua za Kichina na zinawahi kuharibika....
Ni original sio Mchina....
Ipo na Cable yake kwa ku connect kwenye Computer.
Inatumia Bluetooth hivyo unaweza ku operate kwa kutumia Simu ya mkononi pia... Means Una feed taarifa za Bidhaa kwenye App ya Simu yako, then Una press Print out, Lisiti inatoka.
Zimebaki piece chache....Ukiwa interesting njoo inbox!
Sawa, lakini 50000 bado kubwa mno fanya walau 30000Sijaweka hata Bei Mkuu, na bei yangu haifiki huko, coz namalizia mzigo..