Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikujuavyo kwanza ulikuwa mwimba pambio hodari,mashuhuri na mtiifu Sana,Bila shaka hata sehemu ya timu bambikizi.Sasa tuambie huo ushahidi wako dhidi ya hasimu wako tutauaminije?Je ni kisema wewe ni mwongo nitakuwa nimekosea?Mods rekebisha kichwa cha habari. DPP ana ushahidi mzito tena usio na shaka dhidi ya Mbowe na makomando wake.
... Konakona za Iyovi zingetandazwa magogo mabichi mwanzo mwisho kufanya nchi isitawalike na kuharibu makazi ya manyani. Ha ha ha!Diary ndo wanaitegemea ndo imeandika kuchoma petrol station na na kukata miti ya kwenda iringa,
Elimu inatakiwa ikusaidie kutambua mazingira na namna ya kuishi kwenye mazingira hayo.
Elimu isipokusaidia kuya-control mazingira yako ili uishi kwa amani, upendo na furaha basi hiyo elimu yako ina mashaka sana.
Kazi iendeleeeee
Elimu inatakiwa ikusaidie kutambua mazingira na namna ya kuishi kwenye mazingira hayo.
Elimu isipokusaidia kuya-control mazingira yako ili uishi kwa amani, upendo na furaha basi hiyo elimu yako ina mashaka sana.
Kazi iendeleeeee
DPP kapeleka uvundo mahakamani mpaka judje amebana pua
Wangefungua mashitaka ya uhaini basi... Konakona za Iyovi zingetandazwa magogo mabichi mwanzo mwisho kufanya nchi isitawalike na kuharibu makazi ya manyani. Ha ha ha!
Wanafuatilia mikutano ya CDM kuliko miradi ya pesa zetu zinazopigwa na watumishi wa umma.
Hana lolote huyo. Aliposikia akaunti zake zimefunguliwa akatokezea mbio mbio toka mafichoni na jamaa wakamdaka kirahisi.Mbowe alikua na nafasi kubwa ya kukimbia nchi,lakini yeye sio muoga kama Lema na Lissu, ndio maana CDM wanampenda sana hawataki atoke kwenye uenyekiti.
Hamna lolote lile.
Ufipa mna mhaho kupita kiasi.Ushahidi mzito kweli kweli PGO si chochote