Kutoka taifa la wapigania uhuru na wanaosaidia wengine kupata uhuru hadi taifa la waminya uhuru hata wa kuongea tu, kwakweli Tanzania tumelaaniwa sana tangu Mwl. Nyerere afe. Tunashindwa hata na Zambia wanatrend duniani huko hadi Biden anawapa big up ,sisi tumekalia ujinga tu na kusifiana sifiana kusikokua na sababu SHAME on us