Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Thanks lord ila kwa niffer hapo walitaka kumpiga hela ndo maana waliaachia wote yeye wakaendelea kumshikiliaMkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali, Titus Aron kuileleza Mahakama hiyo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.
DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023.
Mahakama inakubaliana na ombi la upande wa Jamhuri kama lilivyowasilishwa, hivyo inawaachua huru washtakiwa hawa wawili," amesema Hakimu Lyamuya.
Nifa kila kitu kilikua wazi wamemuacha tu group lake lilikua kichomiThanks lord ila kwa niffer hapo walitaka kumpiga hela ndo maana waliaachia wote yeye wakaendelea kumshikilia
Pole kwake lakin ahame kabisa nchi hii ahamishe na hiashara zake, its not safe anymore
Nawe ni takataka. Mahakama imetenda haki gani?Safi sana Kongole kwa mahakama kwa kutenda haki
Kama anaweza .......ahame nchiPole kwake lakin ahame kabisa nchi hii ahamishe na hiashara zake, its not safe anymore
Sidhani, ila nahisi ni hasira na jazba ya muhusika juu ya video ile, ilivpisha akaona aachiwe tyuuhThanks lord ila kwa niffer hapo walitaka kumpiga hela ndo maana waliaachia wote yeye wakaendelea kumshikilia
Hata ccm wenyewe wanashangaa haya yanayoendelea
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali, Titus Aron kuileleza Mahakama hiyo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao wawili.
DPP amewafutia kesi hiyo ya uchunguzi namba 26388/ 2025 chini ya kifungu namba 92(1) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ilivyofanya marejeo mwaka 2023.
Mahakama inakubaliana na ombi la upande wa Jamhuri kama lilivyowasilishwa, hivyo inawaachua huru washtakiwa hawa wawili," amesema Hakimu Lyamuya.
Takataka mwenyeweNawe ni takataka. Mahakama imetenda haki gani?
Video mbona walifanya wengi hao waendesha mashtaka walikuwa wanapima uwezo wa kifedha wakiona zipo waandanza kukuletea zengwe kukuachia ili uwape chochote kituSidhani, ila nahisi ni hasira na jazba ya muhusika juu ya video ile, ilivpisha akaona aachiwe tyuuh
Sawa, lakini sijaonesha utakataka. Hata huyo DPP hakatenda haki yoyote. hawa watu walionewaTakataka mwenyewe
Bas hatariiiii.Video mbona walifanya wengi hao waendesha mashtaka walikuwa wanapima uwezo wa kifedha wakiona zipo waandanza kukuletea zengwe kukuachia ili uwape chochote kitu
Sure! The issue is, aende wapi?Kama anaweza .......ahame nchi