Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
DPP Biswalo Mganga, hatuna shaka na utendaji wako hata kidogo, uchapa kazi, haki, weredi, na uwazi . Hivi vyote umejaariwa na mh. Rais hajakosea kukuchagua.
Nikuombe utembelee magereza ya Tanzania, nimetolea mfano gereza la isanga dodoma kwa sababu huwa natembelea kusalimia wafungwa na mahabusu.
Nilichobaini ndani ya kundi la mahabusu waliopo katika baadhi ya magereza yetu nchini na gereza la isanga ambalo ndo limenifanya nilete huu uzi hum nikiamini ujumbe huu utaupata au watu wako wataupata ni haya yafuatayo.
1. Kundi la mahabusu ambao upelerezi wa kesi zao ushafungwa na kubainika hawana makosa yakushtakiwa. Kundi hili bado limo gerezani likisubiri utaratibu wa kisheria ili waweze kuachiwa, lakini cha ajabu watu wamekaa zaidi ya miezi 7 hadi mwaka. Niwatu walio hope yakutoka lkn hawajui ni lini watatoka.
Nikuombe ufatilie hili jambo, yawezekana kuna mchezo wa rushwa kwa watekerezaji wa majukumu haya au uzembe, hii inafifisha juhudi zako na za mh rais pia, lakini tunaua uchumi wa nchi maana wakitoka watazalisha pia.
2. Kesi nyingi hazisikilizwi zaidi yakutajwa tu.
Kunawatu wana zaidi ya miaka miwili kesi zao nikutajwa tu! Hili nalo nitatizo la waandaji wa mashtaka .
Maana wengine upelerezi ushakamilika lkn kika wakienda mahakamani wanaambiwa bado kesi iko kwa DPP , nikheri mtu km anakesi kesi isikilizwe km hana afutiwe mashtaka, kwani ushahidi na mashahidi nao ni muhimu kufanyika ndani ya mda.
Naomba kuwasilisha tafadhari.
Enzi na Enzi.