DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

Hapa kuna ishu ya ukabila tu
Tena naona kuna vita baina ya watu wa Kagera na Mara kiduchu sukuma.
 
Hao wote wanafanya kazi za DPP na sio kazi za Mwakitalu au Biswalo, wanaweza kubaki na kazi zikaenda vilevile
 
Huyo Wankyo ana mbwembwe ,kumbe Ni toto dogo tu,
Kweli hao inabidi wafanyiwe mabadiliko,Dpp mpya aweke watu wake
 
Huyo Wankyo ana mbwembwe ,kumbe Ni toto dogo tu,
Kweli hao inabidi wafanyiwe mabadiliko,Dpp mpya aweke watu wake
Huyo Wankyo na wenzie wana ukwasi wa kutisha ndiyo maana pozi kama watu wazima. Biswalo akiwatengenezea pepo kupitia Plea Bargain
 
Acha lawama za kitoto, ndugu yako alilazimishwa? Plea bargaining inafanyika kwa hiari.
Hiari inatoka wapi wakati unashikwa kwa kosa la ukosoaji kama Tito Magoti, halafu unamkuta kijana ana Tsh 8 Million za kununua gari alizodunduliza miaka 2 baada ya ku graduate unamfungulia mashtaka ya kuhujumu uchumi na kutakasa pesa ili asipate dhamana.

Watu wananunua Uhuru wao wewe Idugunde kwa akili yako ya MATAGA siku hizi inaitwa Sukuma gang unasema plea bargain ni hiari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…