DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

Hawa wanadaiwa kuwa sehemu ya mtandao au genge la aliyekua DPP Bw. Biswalo Mganga. Hofu dhidi ya genge hili ni ukweli kwamba walikua 1.wafuasi (loyal); 2. wanufaika (Beneficieries) na 3. watekelezaji au wawezeshaji wa mipango au madili ya dhuluma yaliyokua yakidaiwa kufanywa au kuwa na mkono au baraka za Biswalo ikiwepo madili ya pre-bargaining na rushwa za kufutia kesi wahalifu kwa kutumia Nole Prosequi.
 
80% ni kanda ya ziwa ndio walipewa kitengo hicho na yule kichaa mwenye file Mirembe.
Team meko 90%!

Marehemu alikuwa mkanda hakika.

Hebu waondolewe hao
Hawa wanadaiwa kuwa sehemu ya mtandao au genge la aliyekua DPP Bw. Biswalo Mganga. Hofu dhidi ya genge hili ni ukweli kwamba walikua 1.wafuasi (loyal); 2. wanufaika (Beneficieries) na 3. watekelezaji au wawezeshaji wa mipango au madili ya dhuluma yaliyokua yakidaiwa kufanywa au kuwa na mkono au baraka za Biswalo ikiwepo madili ya pre-bargaining na rushwa za kufutia kesi wahalifu kwa kutumia Nole Prosequi.
 

Samahani Mkuu, umetumia kigezo gani kwenye kupendekeza huko unakotaka wahamishiwe?na hakuna option ya wao kuchunguzwa, kuondolewa kazini, je hawana ukwasi wa account za benki na uwekezaji wa kutiliwa shaka? Hatuwezi kutoa uhuru kwa walioonewa ama kudhulumiwa kujitokeza, kuhamasisha wenye ushuhuda na ushahidi wakasema neno juu yao?

Kwanini waende huko ulikopendekeza na si vinginevyo?.

Naomba kuwasilisha.
 
Wanalipana mamilioni na kupeana vyeo huku sisi wanatukamua matozo tu
 
Mkuu Huihui2 , kwanza asante sana kwa data za watu hawa japo baadhi ya data zao, ni biometric data, kuzi disclose public ni kinyume cha sheria ya data protection.

Pili ukisikia majungu, sasa haya ndio majungu yenyewe!. Appointements to public offices ni the instruments na sio personalities, maadam ameishateuliwa DPP mpya, then watumishi wote wana fall under new boss !.

Kuhusu kuishafisha Ofisi ya DPP, ushauri huu umetolewa humu na umetekelezwa...





p
 
Wasiri wamekuwa 85% ya uliowataja, ila kuna kasoro imetulenga mojakwamoja! Kumbe kikosi hiki cha MADHULUMATI ni wakristo watupu. Hii ukiiangalia kwa jicho la mbali linatuchafua sana.
 
Samahani nje ya mada kidogo. Hivi term sahihi ni Pre Bargaining au Plea Bargaining?
 
Una hasira sana.

Walikuhujumu kwenye anga zako?

Hiyo orodha ndefu na inaonesha mtandao ni mkubwa sana wakimafya
Huyu Mleta Uzi atakuwa Ni Sehemu ya watumishi wa Ofisi Ya Dpp Ndio Maana ameandika Mpaka check number zao na Uzi Umejaa Wivu Ndani yake
 
Hata Huyo DPP mwakitalu pia Alikuwa Ni Miongoni Mwa Watumishi Waliokuwa Ofisi Ya Dpp so anajua kila Kitu
 
Your wish won't be granted
 
Wewe unaonyesha ni mtu wa majungu na unapenda sana upate hizo nafasi , huna cha zaidi , ofisi zina utaratibu na hakuna mtu atakayeleta utaratibu wake binafsi fanya kazi.
Kama mlidhulumiana usichanganye mambo binafsi na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…