DPP Mwakitalu: Uhalifu haulipi, Ukikamatwa na TAKUKURU tunakupa adhabu na Mali zako zinataifishwa

Katika watu serious na wasioyumba misimamo ni Wanyakyusa si wanawake si wanaume

DPP Mnyakyusa hatanii nawajua.Take care
Hiyo ofisi imeanza Leo? Majigambo ya nini ilhali hakuna tangible records before? Au promo ya wanyakyusa? Hamna kitu, maharage ya Mbeya.
 
na vilabu vinavyopata ubingwa kwa kuhonga vinyang'anywe ubingwa wao
 
Tatizo wala rushwa wakubwa inasemekana ni wale wenye kinga ya kutishtakiwa...
 
Katika watu serious na wasioyumba misimamo ni Wanyakyusa si wanawake si wanaume

DPP Mnyakyusa hatanii nawajua.Take care
Kikubwa afuate sheria za nchi .

Hata hivyo Mwakyembe naye alikuwa Mnyakyusa
 
Umehoji vizuri sana
 
Upuuzi. Mtupu,Takukuru ni kama barking dog without teeth,Haina uwezo Wala Nia ya kupambana na grand corruption,wizi wa kutisha kwenye ofisi za umma,matumizi mabaya ya ofisi za uma,katika kujinufaisha.
Rushwa katika sura zake zote,Takukuru Haiwezi kupambana,wataishia kukamata Rushwa za kuku,buku mbili za trafiki.
Kuna maofisa walijilipa posho kwamba wamesafiri kwenda Dodoma kushiliki siku ya wanawake,wakapiga zaidi ya Milioni 500!Majaliwa anajua,aliliongelea hili,mpaka leo Bado wapo ofcn wanakula mshahara!!
Kwa miaka kumi iliyopita,hakuna mkurugenzi,katibu wa wizara,au mtumishi mwandamizi aliyefungwa na kufilisiwa kwa vitendo vya Rushwa,hizi ni porojo tu.
Rushwa zenye madhara kwa jamii zipo ofisi ya Raisi,wizarani,mashirika ya umma,halimashauri,nani kafungwa mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…