zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Dec 18, 2012 #1 Hivi vyeo tajwa vinakuwa kwenye mashtaka yanohusiana na serikali moja kwa moja, napenda kujua ili kesi iwe ya DPP vigezo nini na REPUBLIC nae namna gani? na vipi AG? Nawasilisha wandugu...
Hivi vyeo tajwa vinakuwa kwenye mashtaka yanohusiana na serikali moja kwa moja, napenda kujua ili kesi iwe ya DPP vigezo nini na REPUBLIC nae namna gani? na vipi AG? Nawasilisha wandugu...