Hawa watakutanishwa nyuma ya pazia na mambo yote kuekwa sawa,kwani kuendeleza mibweko hii kunahatarisha Uhai wa Chama Cha Sultani CCM ,hapa tutaona usanii wa kufa na kupona ili mambo yawe shwari. Na huyo DPP ajue tu kuwa kila mshika mawili moja linaweza kumponyoka.Hivyo anatakiwa awe makini katika kusuluhisha.