amechaguliwa na kiogozi mkuu wa nchi - ina maana unabeza choice ya mkuu? ndugu be careful na kauli zako.Nishangaa sana hii nchi na kamwe sitaacha kushangaa, kuna huyu mtu anaitwa director of public prosecutions, sidhani kama jamaa anauwezo wowote kwenye hii kazi kwani hakuna hata shitaka moja kubwa lenye impact almost kwa wananchi wote alilofikisha mwisho hata yale yenye ushahidi wa wazi, nashindwa kuelewa na nahisi kawekwa kwa interest za watu jamii yake ila nawakumbusha msisahau uholanzi!ama kweli director of public prosecutions hafai kuitwa hata director of district prosecutions
Tatizo si lake, tatizo ni mfumo.
amechaguliwa na kiogozi mkuu wa nchi - ina maana unabeza choice ya mkuu? ndugu be careful na kauli zako.
ha ha haha