johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote.
DPP ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Tabora.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!