johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila why hata yale makosa yasiyo usika na uhujum uchumi yatupwe katika mwamvul huo??Hii ni good news.
P
Good news? Sijui Pascal umepatwa na nini? Labda ni yale anayoyasema Gwajima.Hii ni good news.
P
Good news for what purpose?Hii ni good news.
P
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote.
Hii ni good news kwa mafisadi, wahujumu na watakatishaji fedha,
Masikini mwizi wa kuku, na wale wenzangu na mimi wasio na milioni 100 za kianzio!.
P
Mapato yanakusanywa na TRA!"DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote."
Haya ni nani kamuuliza !!?Kwani ni Uongo kuwa kwa hiyo Sheria Serikali inakusanya Mapato !?
Lengo la kuundwa makahama ya wahujumu uchumi na mafisadi ni Nini Kama watuhumiwa wanasamehewa wakiwa mabusu?"DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote."
Haya ni nani kamuuliza !!?Kwani ni Uongo kuwa kwa hiyo Sheria Serikali inakusanya Mapato !?
Mapato yanakusanywa na TRA!
Toka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye maziingira ambayo upelelezi haujakamilika?Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote.
DPP ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Tabora.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni good news kwa mafisadi, wahujumu na watakatishaji fedha,
Masikini mwizi wa kuku, na wale wenzangu na mimi wasio na milioni 100 za kianzio!.
P
Hiyo list yuko meko?kama hayuko ni list fekiMkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote.
DPP ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Tabora.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ukiona Plea Bargain ni wizi wa pesa zako, unauchuna tu kesi iendelee si utashinda?Toka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye maziingira ambayo upelelezi haujakamilika?
Ukweli ni kwamba plea bargain inayofanywa iko kinyume cha sheria na ni kichaka cha kujipatia fedha toka kwa waliolengwa. Ni unyang'anyi wa mchana unaofanywa purposefully na Jiwe na Biswalo Mganga.