Dr. 90210 na dilemma ya wanawake (maarufu)

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
hiki kipindi kinarushwa katika channel inaitwa E-Entertainment. huwa naona jinsi wanawake maarufu wanavyohangaika kufanyia miili yao plastic surgery hadi nakoma. wanapendelea uso matiti na tumbo. wanafanya hivyo kwa ajili ya nani? wanaingia gharama kubwa sana za upasuaji na kumpa changamoto Mungu. Hii inanipa picha kuwa bado wanawake wengi hawajiamini. Nachoshukuru ni kuwa wanaofanya hayo idadi yao kubwa ni wazungu wanaokaribia asilimia 100. Blacks sijawaona ila haimaanishi kuwa hawafanyi. pia simaanishi kuwa wanaume hawafanyi. wanafanya kwa faida ya nani?
 
Attachments

  • splash_image.jpg
    20.2 KB · Views: 214
kwa ajili ya aina ya kazi walizonazo .........

kama actress au singers lazima uwe na mvuto na ndio hapo inapowabidi wakatengeneze sura na maumbo yao ili waweze kuuza films au songs zao.

note kingi: Mange Kimambi na wadau wengine wa u-turn wamefanyiwa boobs operations na facial pia.......so hata wabongo nao wanafanya tu
 
Nafikiri ni kwa ajili ya kuridhia mtizamo/matarajio ya jamii.Huku kwetu wanawake wanajichubua kwa sababu sehemu kubwa ya mitazamo yetu ni kuwa mwanamke mweupe ndo mzuri.
God forbid,nilishaona huko dr 90210 mwanaume ana-bleach an*s!
 
Kazi kwan maana huwa naona mambo ya ajabu tu mle
 
ningekuwa na uwezo ningefanya operesheni kupunguza tumbo,mapaja na ******...niwe na shape nzuri...

kuboost confidence hio ndio faida Kingi,ujitazamapo kwenye kioo...na kuridhika na kile unachokionabasi ndio faida yenyewe!:lie:
 
Roselyne1 kwa ushauri mie nadhani ufanye mazoezi tu yanasaidia sana mpendwa hizi surgery sio nzuri
Kwanza ukifanya mazoezi wewe mwenyewe utakuwa confortable na mwili wako utakuwa unajisikia mwepesi sana ..na utakuwa unajiona tofauti kabisa hata ukiwa unatembea ..
haya mengine yana athari zake mbeleni
 
Tatizo la surgery mtu akishafanya moja atatamani kufanya na nyingine kwani anaona mwili wote una kasoro. Sijajua ni kwa nini wanawake hufanyia zaidi matiti
 
Mvuto ni nini??
 
Tatizo la surgery mtu akishafanya moja atatamani kufanya na nyingine kwani anaona mwili wote una kasoro. Sijajua ni kwa nini wanawake hufanyia zaidi matiti

jibu lishajulikana adi hapo
 
Nazikubali sana Bantu figures,nyingi haziihitaji artificial modifications.Mazoezi tu na diet nzuri inatosha kumweka katika good shape for long time.
Hawa wenye ngozi nyeupe/njano(majority)..with exception of Latinos and Hispanics...wakifikisha miaka 35...ina prompt wafanye hiyo kitu.
 
ningekuwa na uwezo ningefanya operesheni kupunguza tumbo,mapaja na ******...niwe na shape nzuri...

kuboost confidence hio ndio faida Kingi,ujitazamapo kwenye kioo...na kuridhika na kile unachokionabasi ndio faida yenyewe!:lie:

Umemuuliza my husband/wife wako. Usikute ameuwawa kwa jinsi ulivyo na hiyo mi-hips, tumbo n.k. Usije ukamsababisha aanza kulandalanda kuwatafuta walionavyo hivyo unavyotaka kuviondoa.....

hahaaaaa
 
Hapa bongo nasikia kuna massage za k.u.m.a maeneo fulani ila ni gharama kweli na wanaoenda huko ni wake wa vigogo, tena bila waume zao kujua. kitu kinarudi nta kimtindo
 
Hapa bongo nasikia kuna massage za k.u.m.a maeneo fulani ila ni gharama kweli na wanaoenda huko ni wake wa vigogo, tena bila waume zao kujua. kitu kinarudi nta kimtindo

Nipe uelekeo nimpeleke wa kwangu............bila kificho!:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…