Ila kwa kweli walio wengi watoto wanaopokelewa shule za upili kutoka huko msingi sio secondary school material, na tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyodhani.
Ila kwa kweli walio wengi watoto wanaopokelewa shule za upili kutoka huko msingi sio secondary school material, na tatizo ni kubwa kuliko watu wanavyodhani.
Shule za msingi zenyewe Zina walimu 4 Hadi 6 zilizo nyingi za vijijini,nyingine mpaka 3.
Hapo utapata mwanafunzi kweli mwenye viwango vya kwenda sekondari.kuna wanafunzi wanafaulu kwenda sekondari Hawajui kusoma vizur lugha ya kiswahili, Kuna wanajua kusoma ila mwandiko mbaya na Kuna Hawajui kabisa.