Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Source.Mwananchi http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=18438
Swali: Kuna suala hili la ardhi ambapo Watanzania wamekuwa wakipinga wazo la kuwakaribisha wananchi wa nchi za Afrika Mashariki kuja kumiliki ardhi Tanzania, unalisemeaje hilo?
Jibu: hilo ni suala ambalo huwa sipendi kulisikia kwa sababu, kama tulipata uhuru ili tuishi pamoja kwa nini tena tuwazuie Waafrika wenzetu kuja kumiliki ardhi? Hilo ni suala lenye utata kwa sababu kila nchi ina sheria zake za ardhi ambazo hazifanani, ndiyo maana hata kwenye Bunge letu tumeacha kujadili, hadi litakapowekwa sawa na nchi husika, kwa sasa tunajadili mambo mengine, labda hadi nchi zetu zitakapoungana.