Yaani sijui niseme nini.Nahisi huyu jamaa hajui kwa nini yuko pale.
Sijawahi ona watu waliokosa uzalendo kama huyu mkulu.
Ofcourse kama jumuiya ya EAC ni more of economic intergration basi suala la Ardhi lazima lipiganiwe.Hiyo ni moja wapo ya factors of Production.
Lakini sasa kumbe inaonekana serikali yetu inatuisaliti kwenye mambo fulani fulani,coz suala la Ardhi serikali ilisema halihusiani na Shirikisho,leo hii huyu jama Mbunge wa EALA anakuja kuongea utumbo wa aina hii.
So kumbe serikali inacheza game hapa?