But Dr Migiro is not JK or what are you implying?I was really impressed with Dr Mingiro interview,She is so clear,to the point and articulate.She way better that JK.What do you think?
http://www.cnn.com/video/#/video/in...ide.africa.mckenzie.bk.b.cnn?iref=videosearch
source:CNN:Tanzania Infrastructure Problems by David McKenzie
But Dr Migiro is not JK or what are you implying?
....Aisee,sijui kwanini huwa tuna tabia ya kulinganisha visivyo linganishika!! sasa kwa lugha ya sebuleni ni kwamba:Kitandani kwa The-Migiros hupumzika Digrii saba!! sijui kwa huyo mwenzangu na miye zaidi ya miguu minne kunani??....sijui!!!....I was really impressed with Dr Mingiro interview,She is so clear,to the point and articulate.She way better that JK.What do you think?
Kuna vitu Mama Migiro amesema ambavyo ningeshukuru kupata ufafanuzi.
Akiongelea madhara ya global financial crisis kwa wanawake wa Tanzania na Africa, amesema, wanawake ndio wanafanya kazi kubwa shambani, na ndio wanaofanya "petty trade," na hivyo, kutokana na hii credit crunch, na mfumuko wa bei za vyakula, basi vyovyote ambavyo wanawake wamekuwa wakifanya vitadhurika.
Ningependa kuelewa, jee, credit crunch inamwathiri vipi msuka ukili na mchoma chapati na mponda kokoto (petty traders). Mpanda mihogo na mtama ataumia au atafaidika na mfumuko wa bei ya vyakula?
Kwa nchi zenye uchumi wa kuazimana, credit crunch inaathiri vitu kama mikopo ya mortgage, mikopo ya wanafunzi, mabenki, investments za makampuni, na mikopo ya ununuzi wa magari.
Kama sio tabia ya kugeza ya kwingineko, Global credit crunch inamuathiri vipi Mama Ntilie wa Gezaulole?
I was really impressed with Dr Mingiro interview,She is so clear,to the point and articulate.She way better that JK.What do you think?
http://www.cnn.com/video/#/video/in...ide.africa.mckenzie.bk.b.cnn?iref=videosearch
source:CNN:Tanzania Infrastructure Problems by David McKenzie
....Aisee,sijui kwanini huwa tuna tabia ya kulinganisha visivyo linganishika!! sasa kwa lugha ya sebuleni ni kwamba:Kitandani kwa The-Migiros hupumzika Digrii saba!! sijui kwa huyo mwenzangu na miye zaidi ya miguu minne kunani??....sijui!!!....
Ni JK huyuhuyu aliyesaidia kumfikisha huyu Mama hapo alipo sasa. Huyu Mama ni kati ya TEUZI nzuri alizowahi kufanya JK. Nasikia anaandaliwa kuwa RAIS 2015?
hapo ni suala la kutunga sentensi tuu, uhalisia unakuja bdaee..Kuna vitu Mama Migiro amesema ambavyo ningeshukuru kupata ufafanuzi.
Akiongelea madhara ya global financial crisis kwa wanawake wa Tanzania na Africa, amesema, wanawake ndio wanafanya kazi kubwa shambani, na ndio wanaofanya "petty trade," na hivyo, kutokana na hii credit crunch, na mfumuko wa bei za vyakula, basi vyovyote ambavyo wanawake wamekuwa wakifanya vitadhurika.
Ningependa kuelewa, jee, credit crunch inamwathiri vipi msuka ukili na mchoma chapati na mponda kokoto (petty traders). Mpanda mihogo na mtama ataumia au atafaidika na mfumuko wa bei ya vyakula?
Kwa nchi zenye uchumi wa kuazimana, credit crunch inaathiri vitu kama mikopo ya mortgage, mikopo ya wanafunzi, mabenki, investments za makampuni, na mikopo ya ununuzi wa magari.
Kama sio tabia ya kugeza ya kwingineko, Global credit crunch inamuathiri vipi Mama Ntilie wa Gezaulole?
Naibu Katibu Mkuu wa UN ni cheo cha kisiasa zaidi. Uwaziri wake wa Mambo ya Nje aloopewa na JK umemsaidia sana kwenye uteuzi huu. Juhudi ipi ya kazi iloomfikisha hapo? Asingeingia kwenye siasa kwa mlango wa nyuma(viti maalum) asingefika huko!I beg to differ, jamani huyu mama juhudi yake ya kazi ndio imemfanya afike hapo alipo! hiyo sio siasa ya tanzania ya kupeana viti vya ubunge!π
I beg to differ, jamani huyu mama juhudi yake ya kazi ndio imemfanya afike hapo alipo! hiyo sio siasa ya tanzania ya kupeana viti vya ubunge!π