Dr. Bashiru alipuka, akerwa na Kauli za “Anaupiga mwingi”

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Novemba 19, 2022

2FDC7BF6-6DCF-4BE9-8F45-F19EB7D9D643.jpeg

  • Dr. Bashitu alipuka
  • Awavaa wanaosifu utawala wa Samia
  • Akerwa na kauli za “Anaupiga mwingi”
 
Awashangaa wanaosema Anaupiga Mwingi !

Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye Gazeti la Raia Mwema .

Bali Ifahamike kwamba Rais Samia Suluhu ndiye aliyemtumbua Dr Bashiru Ally kutoka kwenye UKATIBU MKUU KIONGOZI hadi kwenda kuwa mgonga meza bungeni .
 
Hahaha, hili gazeti nalo siyo la kusoma tu kichwa chake cha habari na kuconclude, limekuwa la hovyo sana
 
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Novemba 19, 2022

View attachment 2420561
  • Dr. Bashitu alipuka
  • Awavaa wanaosifu utawala wa Samia
  • Akerwa na kauli za “Anaupiga mwingi”
I wish ningelisoma hili gazeti in details hasa juu ya alichokisema uyu Bw Bashiru.

Uyu mama ukimdhiaki km alivyofanya Ndugaye lzm azae na wewe, dah Bashir ashike adabu yake hasa km hiyo ana adabu maana jimama litamchamba kisha limpalule aiseh
 
Hizo lugha za gazeti ili liuze halafu lina ajenda ya kutikisa kidogo ccm bigshots ambao wanaonekana kama ni mwiba.

Bashiru kwa ukubwa wake na akili zake hawezi kuwa too low kumkosoa Nambari moja. Wenye akili tunaomjua bashiru hizo sio zake kuropokaropoka.
 
Naomba msikilize hapa! HAJASINGIZIWA wala hajalishwa maneno

Awashangaa wanaosema Anaupiga Mwingi !

Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye Gazeti la Raia Mwema .

Bali Ifahamike kwamba Rais Samia Suluhu ndiye aliyemtumbua Dr Bashiru Ally kutoka kwenye UKATIBU MKUU KIONGOZI hadi kwenda kuwa mgonga meza bungeni .
Video hii hapa kwa ushahidi kamili
 
Basi tunashukuru kama akili za wazee zimeanza kurudi. Mabadiliko hayazuiliki
Nadhani baada ya kuona video umepata mtazamo mpya tofauti na huu[emoji1541]

Back
Top Bottom