Dr. Bashiru Ally wa Enzi hizo akizungumzia Katiba Mpya

Dr. Bashiru Ally wa Enzi hizo akizungumzia Katiba Mpya

Unafiki ndio "KIGEZO" number moja ya kulinda ugali nchi hii. Yani ukitaka usishinde na njaa basi kuwa mnafiki au muongo, hata Land Cruiser VX na Bungeni utaingia.

Ila ukijifanya "MKWELI" au "UNAUMIA SANA" na yanayoendelea, basi utaishia kolokoloni na kesi ya "UHUJUMU UCHUMI" itakusindikiza kwa ngojera/vifijo. Familia na marafiki zako watakusahau.
 
Kwahiyo mkuu unatushauri woote tuunge mkono?

In God we Trust
 
Kubadirika msimamo au muelekeo ni kitu cha kawaida kabisa katika maisha. Wengi wetu kwa sasa twaishi kwa mitazamo tofauti na tuliyokuwa nayo mwanzo.
 
Kwahiyo mkuu unatushauri woote tuunge mkono?

In God we Trust
Itakua mtihani kwa taifa mkuu. Vitongoji na Vijiji vitakua vinaishi kama wake-wenza, utasikia kijiji fulani kimenunia hakiongei na kijiji cha jirani, kitongoji fulani kimesambaza umbea kuhusu kitongoji fulani, kisa wivu wa kinafiki.[emoji848]

Hio taaluma ya "UONGO NA UNAFIKI" wanaiweza CCM na VIONGOZI WETU WA DINI tu. Acha tuwaache wenye taaluma zao.
 
Unafiki ndio "KIGEZO" number moja ya kulinda ugali nchi hii. Yani ukitaka usishinde na njaa basi kuwa mnafiki au muongo, hata Land Cruiser VX na Bungeni utaingia.

Ila ukijifanya "MKWELI" au "UNAUMIA SANA" na yanayoendelea, basi utaishia kolokoloni na kesi ya "UHUJUMU UCHUMI" itakusindikiza kwa ngojera/vifijo. Familia na marafiki zako watakusahau.
UME SAHAU KESI ZA UTAKA TISHAJI PESA AKA AWAMU YA 5 STYLE
 
Kuna mtu anaitwa Jakaya Kikwete. Huyu ni miongoni mwa watu ambao wakiongea huwa wanamaanisha. Enzi zake alikuwa "hana muda" na watu wanaopingana naye au chama chake. Ilikuwa mpinzani akihamia chama chake lazima ampe "vipande vyake" kwa kumkumbusha alivyokuwa anakosoa wakati yupo upinzani na hasa ikitokea mpinzani huyo amehama chama chake kwa "kukatwa" na wenzie. Hapa namkumbuka sana mtu machachari wa CUF Bi Fatma Maghibi alipoingia CCM! Sijui aliishia kuwa nani!

Lakini tofauti na JK, hawa wa siku hizi wanawaona wapinzani kuwa "deal" kiasi kwamba wako tayari kuwahonga kwa fedha na vyeo ili wahamie upande wao. Hatari sana!
 
Naamini ukiingia ndani ya ccm akili zote unakabidhi pale mapokezi

In God we Trust
Ndiyo maana yake
1572191514899.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru Ally
Palamagamba Kabudi
Humphrey Polepole

Majina mengine mtaongezea.

Nahisi kuna watu waliwawekea window mpya kwenye computer zao.
 
Anatamani ayakane maneno haya ila technologia inamuumbua

Wanasema duniani ogopa vitu viwili tu; Mungu na Technologia
 
Back
Top Bottom