Dr. Bashiru kaongea dakika anajibiwa wiki

Dr. Bashiru kaongea dakika anajibiwa wiki

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
20221121_175407.jpg
☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa

Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.

Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.

Na hawajibu alichozungumza ila wanampinga mtoa hoja na inavyoonekana hoja yake haiwezi kujibiwa.
 
Kauli zake za kibabe kipindi kile cha mwendazake zinamharibia kwa watu neutral
 
View attachment 2423297
☝🏾Ukipenda muite Dr.Bashiru Ally Kakurwa

Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.

Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.

Na hawajibu alichozunguza ila wanampinga mtoa hoja na inavyoonekana hoja yake haiwezi kujibiwa.
Wanaomshambulia ni chawa na sababu kubwa ni kwakuwa ametumia neno watawala, kwa akili ya chawa wanatafsiri kuwa Bashiru kamtaja mtawala wa sasa kumbe hakumaanisha hivyo ...na huenda asingetaja neno tawala usingesikia hizo kelele zote
 
Inashangaza sana.. Aibu alafu.
 
Our mind is Our Saviour,
From my point of view, nothing wrong from Dr. Bashiru speech interview vs Wakulima, if you listen that video clip very careful.

Tatizo linaanzia Kwa Wachumia tumbo ambao wapo kazini kwa 24 Hrs kuharibu mazuri yote ya hii nchi na sio kuongoza.
Bila kung'amua tulipotoka ni ngumu sana kuelewa hali ya mambo hivi sasa.
Hakika ukikombolewa kifikra, umetoka kwenye utumwa halisi.
Screenshot_20221121-190553_1.jpg
 
Bahati mbaya wote wanakosea majibu, wamechanganywa wakachanganyikiwa.
 
Tunaomba walau kila mwezi awe anatupia neno moja moja kisha anapotea.
 
[emoji1489]Ukipenda muite Dr.Bashiru Ally Kakurwa

Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.

Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.

Na hawajibu alichozunguza ila wanampinga mtoa hoja na inavyoonekana hoja yake haiwezi kujibiwa.
Msomi anaejitambua
,Ujee upambanishe na kina kibajaji,kigwa na msukuma wapi na wapi?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kauli zake za kibabe kipindi kile cha mwendazake zinamharibia kwa watu neutral

Naamini (kwa mfumo wa siasa yetu) hata akiwa wewe na ukiwa chini yangu kama kiongozi mkuu wa nchi huwezi niponda, so kile kilikuwa kipindi chake.
 
Back
Top Bottom