Wanaomshambulia ni chawa na sababu kubwa ni kwakuwa ametumia neno watawala, kwa akili ya chawa wanatafsiri kuwa Bashiru kamtaja mtawala wa sasa kumbe hakumaanisha hivyo ...na huenda asingetaja neno tawala usingesikia hizo kelele zoteView attachment 2423297
☝🏾Ukipenda muite Dr.Bashiru Ally Kakurwa
Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.
Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.
Na hawajibu alichozunguza ila wanampinga mtoa hoja na inavyoonekana hoja yake haiwezi kujibiwa.
Alitumika Sasa Zama zake zimepita.Zama zake zimekwisha kabisa
Hauwezi ukawa neutral maisha haya. Either uwe baridi au moto.Kauli zake za kibabe kipindi kile cha mwendazake zinamharibia kwa watu neutral
Kauli zake za kibabe kipindi kile cha mwendazake zinamharibia kwa watu neutral
Msomi anaejitambua[emoji1489]Ukipenda muite Dr.Bashiru Ally Kakurwa