Membe anaitwa akajieleze kwa kutishia uhai wa chama chenu,source ni Musiba kwamba The superb ,master Spy B.MEMBE anataka kugombea Urais 2020
Mmerukwa na akili,mmepanick mnahangaika naye lakini Musiba pia alitaja watu wengi wanaotishia usalama wa nchi kwa mujibu wake yeye tena akawatuhumu hadi CIA ,walitajwa kina Mange kimambi,Maria sarungi,mbowe,zitto,masoud kipanya na said michael tukaambiwa walipelekwa marekani kufundishwa jinsi ya kuchora katuni za kumkebehi Rais
Mbona hawa wa kutishia usalama wa nchi tena kwa msaada wa CIA hawaitwi popote?au ndo chama kwanza mengine baadaye?
ACHENI MICHEZO YA KITOTO,MNATIA AIBU