johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Mgaya yuko Rombo anakula sikukuu na kada Selasini!Kwani mzee Mgaya ana neno gani juu ya viongozi hawa wanaotoa kauli zisizotekelezeka?
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema swala la umoja ndani ya chama ni la lazima na mwanachama yoyote atakayekuwa na viashiria vya kutotaka umoja atafukuzwa chamani mara moja.
Ili kuwagundua wabinafsi Dr Bashiru amesema chama kitafuatilia mienendo ya wanachama wake na ikibainika unataka kutugawa Tutakutimua mara moja.
Dr Bashiru ameyasema hayo mjini Bukoba akiwa kwenye ziara ya kuimarisha chama.
Source Star tv habari!
Bila CCM imara na yenye umoja nchi itayumba hivyo CCM kuwa moja maana yake ni nchi kuwa imara. Maneno ya Dkt. Bashiru yàmejaa hekima na iliyobeba matarajio makubwa kwa TanzaniaUkimsoma vizuri Dr. Bashiru haongelei umoja, bali analazimisha ukondoo kwenye chama chao. Umoja anaomaanisha yeye ni kutii chochote kinachooamuliwa na mwenyekiti na genge lake. Na kwa mtazamo wake na waliomtuma, yeyote mwenye mtazamo tofauti na genge la mwenyekiti huyo sio mmoja wao.
Yupo kwenye foleni ya kupokea mgao wa ruzuku kwa mwenyekiti wa maishaKwani mzee Mgaya ana neno gani juu ya viongozi hawa wanaotoa kauli zisizotekelezeka?
Ukimsoma vizuri Dr. Bashiru haongelei umoja, bali analazimisha ukondoo kwenye chama chao. Umoja anaomaanisha yeye ni kutii chochote kinachooamuliwa na mwenyekiti na genge lake. Na kwa mtazamo wake na waliomtuma, yeyote mwenye mtazamo tofauti na genge la mwenyekiti huyo sio mmoja wao.
Bila CCM imara na yenye umoja nchi itayumba hivyo CCM kuwa moja maana yake ni nchi kuwa imara. Maneno ya Dkt. Bashiru yàmejaa hekima na iliyobeba matarajio makubwa kwa Tanzania
Mnapoambiwa kuhusu chama chenu mnalialia kama kasuku, kumbe huwa mnafuatilia ya CCM? Sasa ya ngoswe yanawahusu nini nyinyi mliojipambanua kwamba mnapinga kila kitu anachofanya JPM? Poleni kwa maumivu ya Mbowe hadi ang'oke wakati mtakapokuwa vikongwe.
Kwanini bwashee?!
Hujui hata unaongea nini, jambo lolote likiletwa huku jukwaani kila mtu anaweza kulijadili apendavyo. Kuna mtu umemuona kaenda kusimama nje ya mlango wa ofisi za ccm anafuatilia kinachoendelea humo? Mzue aliyeleta mada ya ccm humu ndani, uone kama kuna mtu atakwenda kwenye ofisi za ccm kuulizia chochote.
Hiyo sio issue mkuu naongelea comments ambazo mara kwa mara umekuwa unakejeli kwa nini nina-comment wakati mimi nilisema sio Mwanachama wa Chadema na nikakupa mfano kwamba wakati wa kupiga kura na wakati vyama vinajinadi huomba kura kwa kila Mtanzania.
BTW vipi umekula sikukuu vyema? Mwaka ndio unakwisha hivyo!
Mwulize barua za wale jamaa lini?Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema swala la umoja ndani ya chama ni la lazima na mwanachama yoyote atakayekuwa na viashiria vya kutotaka umoja atafukuzwa chamani mara moja.
Ili kuwagundua wabinafsi Dr Bashiru amesema chama kitafuatilia mienendo ya wanachama wake na ikibainika unataka kutugawa Tutakutimua mara moja.
Dr Bashiru ameyasema hayo mjini Bukoba akiwa kwenye ziara ya kuimarisha chama.
Source Star tv habari!
Inaonekana kuna fukuto hukoKatibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema swala la umoja ndani ya chama ni la lazima na mwanachama yoyote atakayekuwa na viashiria vya kutotaka umoja atafukuzwa chamani mara moja.
Ili kuwagundua wabinafsi Dr Bashiru amesema chama kitafuatilia mienendo ya wanachama wake na ikibainika unataka kutugawa Tutakutimua mara moja.
Dr Bashiru ameyasema hayo mjini Bukoba akiwa kwenye ziara ya kuimarisha chama.
Source Star tv habari!