Dr Bashiru: Suala la Umoja ndani ya CCM ni la lazima siyo hiyari, asiyetaka Umoja tutamfukuza mara moja

Vyama mbona viko kibau au hapo ccm ndio kuna oxygen tu.
 
Demokrasia ndani ya chama ni pamoja na kukubaliana na maoni tofauti ya wanachama hata kama yanaonekana hayana ladha nzuri kwa viongozi wa juu wa chama. Hisia za kuonyesha kutamamani kushindanishwa ktk kugombea nafasi ya kupeperusha bendara ya Urais ndani ya chama isiwe nongwa. Wala isitumike kama fimbo ya kuwaadhibu wenye shahuku hiyo kwa kisingizio cha kutishia umoja ndani ya chama. Let the balloons freely to float on air, people will dicide which colour is preferably and attractive to them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa PhD unajaribu kuudanganya umma juu ya kile kilicho ndani ya Chama chako.

Mbona hata mtoto wa dalasa la tatu aleisoma Somo la uraia na kulielewa vizuri anaweza tambua Hali halisi ya kutokuwepo kwa umoja baadhi ya Wana CCM.
Mfano; Membe na wenzake baadhi.

NOTE; Msiwafanye watanzania kuwa Ni Wajinga kiasi hicho wanaona na wanelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisema Mwanachama anayepinga au kukemea vitendo vya kuteka, kutesa, kuua, kubambika kesi siyo mwenzetu. Tutamtumua
 
Bila CCM imara na yenye umoja nchi itayumba hivyo CCM kuwa moja maana yake ni nchi kuwa imara. Maneno ya Dkt. Bashiru yàmejaa hekima na iliyobeba matarajio makubwa kwa Tanzania
Mbona hamuihusishi hiyo ccm Na umasikini wa nchi, hiyo kuyumba ndo inakuwaje,

Sisi wazalendo halisi tunasema bila ccm nchi itapiga hatua kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…