Jamani hata kama ni ushabiki tupunguze.
Hii habari si ya kweli na Dk Batilda yupo Municipal anaanagalia jinsi matokeo yanavyoingizwa kwenye mtandao.
Ila habari niliyoipata ni kwamba amepanic sana, na wameshakujana ngumi na Lema baada ya kurushiana maneno.
Wakati wakijibizana akatokea mdogo wake Dk Batilda, ambaye ni wa Kiume wakakwidana na Lema, lakini mambo ni shwari.