Dr. Ben Carson: Msoto mpaka kuwa Daktari bingwa

Dr. Ben Carson: Msoto mpaka kuwa Daktari bingwa

Ahmadi Brown

Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
19
Reaction score
19
Katika Maisha Kuna Milima Mabonde, Na Yote Tumeumbiwa Binaadamu Hatuna Budi Kuyavuka.

Kwenye Maisha Feli,Kosea, Anguka Mara 100 Ili Ufaulu Mara Moja

Ben Carson Alibaguliwa Sana Kutokana Na Rangi Yake Na Darasani Alikuwa Akishika Nafasi Ya Chini, Ila Ndio Alikuja Kuwa Daktari Bingwa Wa Maswala Ya Upasuaji

Historia Yake Nimekuwekea Hapa [emoji1484]

Gusa Link Hapo Uweze kuona full pia usisahau #KuSubscribe Ku Like na Comment



IMG_20190803_231354_643.jpeg
 

Attachments

  • ol.jpeg
    ol.jpeg
    10.5 KB · Views: 48
Mwenye soft copy yake ya Gifted hands(Swahili version)naiomba
 
Aaaaaah kitabu chake nilikisoma karibu mara mbili nimependa namna ambavyo hakuamua kukata tamaa pia nimeona malezi ya wazazi kwa watt huchangia mafanikio yao
 
Mama yao huwa ananiinspire sana katika malezi. Hususani katika kuwamotivate watoto. Jinsi alimwambia mwanae unaweza na jinsi alivyowaambia wawe wanasoma vitabu. Benjamin akawa anajibu maswali darasani mpaka wanafunzi wake wakamshangaa.
Mimi huwa natumia sana hii katika kuwatia moyo wanangu. Kwamba unaweza. Unakuta mtoto anakuambia "mama hii ni ngumu sana "Unamwambia unaweza ,fanya hiyo hesabu utaweza wewe una akili. Mwisho wa siku mtoto anakuambia nimeweza. Unabaki unamwambia tu i told you. You can,never underestimate yourself.
 
Back
Top Bottom