Mama yao huwa ananiinspire sana katika malezi. Hususani katika kuwamotivate watoto. Jinsi alimwambia mwanae unaweza na jinsi alivyowaambia wawe wanasoma vitabu. Benjamin akawa anajibu maswali darasani mpaka wanafunzi wake wakamshangaa.
Mimi huwa natumia sana hii katika kuwatia moyo wanangu. Kwamba unaweza. Unakuta mtoto anakuambia "mama hii ni ngumu sana "Unamwambia unaweza ,fanya hiyo hesabu utaweza wewe una akili. Mwisho wa siku mtoto anakuambia nimeweza. Unabaki unamwambia tu i told you. You can,never underestimate yourself.