Dr Bigwa wa Moyo

Dr Bigwa wa Moyo

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,572
Madaktari wawili walienda kwenye mazishi ya daktari mwenzao ambaye alikua ni Dr Bingwa wa Moyo,

kwa kutambua na kuheshimu mchango wake kwenye idara ya Moyo, Hospitali aliyokua anafanyia kazi waliamua kumtengenezea jeneza lenye umbo kama Moyo, hata kwenye kaburi lake walijenga mnara wa Moyo

Dr. Mmoja kati ya wale wawili alipoona akacheka kwa sauti ya chini chini..

Dr 2: mbona unacheka ndugu?

Dr1: nafikiria itakavyokua kwenye mazishi yangu.

D2: Kwani vipi?

D1: Mimi ni Gynocologist

(iliwahi kupostiwa huku)
 
hahahaa yuwataka kusema kuwa via vya uzazi vitamhusu ktk qabri yake
 
Back
Top Bottom