Elections 2010 Dr bilal arudi tena iringa????

Elections 2010 Dr bilal arudi tena iringa????

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
4,465
Reaction score
1,171
KATIKA HALI INAYOONYESHA WAGOMBEA WAKUU CCM KUCHANGANYIKIWA, SASA SIJUI HATA KAMA WANAFUATA RATIBA. DR BILAL AMERUDI TENA IRINGA, ALIKUWA HUKO HATA MWEZI HAUJAISHA, JK ALIKUWA HUKO KAMA SIKU KUMI ZILIZOPITA KULIKONI???????

HAWA JAMAA HAWAHESHIMU DEMOKRASIA?????????? KWA NINI HAWATAKI KUHESHIMU MAAMUZI YA WATU WA IRINGA???????????

2hmken7.jpg
 
Lazima ifikie hatua wajue, kwa wao kukosa jipya ni tiketi tosha ya kuwaonda madarakani. Hii ni dalili ya kwamba wamechanganyikiwa!!!

Wakuu hii inaonyesha kwa sasa wanaandaa mipango kabambe ya wizi wa kura!! CHADEMA kwa kweli nanyi inabidi tactical team ikae, and in a smartly way to counter this strategy.

Jana nimeona kwenye TV jinsi vote rigging KANDAHAR ni kichekesho!!! Duh yasije tukuta haya jamani!!
 
Itakuwa vizuri Chadema nao wakapita huko baada ya Bilal ili waweze kufuta nyayo zake. Hata hivyo sidhani kama Bilal ana impact yoyote, ni mweupe na hana mvuto na bila ya kubeba na kulipa wasikilizaji angekuwa anabaki yeye na wagombea na wana mziki wao
 
Mzimu wa Mwakalebela bado unawatafuna
Hapa Bro. Mchungaji Peter Msigwa lazima aingie mjengoni
 
Yaani we acha tu...times continue to prove beyond no doubts that they change.
 
Ziko sehemu chache sana Tanzania Bara ambapo Dr. Gharib Bilal anaweza kwenda na watu wakajitokeza kumsikiliza. Kama hapo Iringa anao wafuasi kidogo itabidi arudi hapo hapo mpaka uchaguzi umalizike. Kisha arudi Zanzibar, maana hakuna Umakamu wa Rais.

Maskini Dr. Bilal! Laiti angegombea kitu, hata ubunge tu, huko Zanzibar! Huku bara hana hili wala lile!
 
wanatia huruma leo bilal kesho salma , kesho kutwa ridhiwan. then kamanda wa chipukiz
ccm mdebwedo..
 
Back
Top Bottom