Ziko sehemu chache sana Tanzania Bara ambapo Dr. Gharib Bilal anaweza kwenda na watu wakajitokeza kumsikiliza. Kama hapo Iringa anao wafuasi kidogo itabidi arudi hapo hapo mpaka uchaguzi umalizike. Kisha arudi Zanzibar, maana hakuna Umakamu wa Rais.
Maskini Dr. Bilal! Laiti angegombea kitu, hata ubunge tu, huko Zanzibar! Huku bara hana hili wala lile!