DR Congo ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa

DR Congo ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
DRC ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.

Pole Taifa Stars..Pole nchi yangu.Poleni wachezaji. Hongera DRC.

Wabongo tujifunze sasa kukubali matokeo bila kutoa matusi. Hivi kwanza unamtukana nani, unamlalamikia nani..umemlipa nani.

Aiseee asiyekubali aende akacheze yeye. Nasimama na Taifa Stars in both, hard and good times kama Nicholaus almaarufu kama Bongo zozo.

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
 
Kwani Kigoma tuko Tanzania au DRC??? Nijuzeni wakuu maana tumeshangilia magoli yote
#Tumewashenyenta
 
Back
Top Bottom