DR Congo: Boti yazama, Watu zaidi ya 50 wahofiwa kupoteza Maisha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma)

Video inayosambaa Mtandaoni inaonyesha boti hiyo ikiinamia upande mmoja na kisha kuzama

Idadi kamili ya Watu waliokuwepo ndani ya Boti haijafahamika japokuwa Mtandao wa Reuters umedai huenda ilibeba takribani Watu 200 lakini walioandikishwa walikuwa 80 (Wanaume 45 na Wanawake 35.

Soma Pia: Boti iliyobeba Abiria zaidi ya 300 yazama kwenye Mto Nchini Nigeria
---

At least 20 die as ferry capsizes on DR Congo lake

least 20 bodies have been recovered from Lake Kivu in eastern Democratic Republic of Congo, after a ferry capsized just a few hundred metres from its destination.

The boat was travelling from the town of Minova in South Kivu and sank as it was arriving on Goma's shore on Thursday morning.

A video circulating online shows the boat tilting to one side and then sinking.

It is still unclear how many people were on board, but several survivors told Reuters news agency it may have been carrying at least 200 people

Reuters cited a local migration authority saying around 45 males and 35 females were registered as passengers, but their ages have not been verified.

A local activist, Aaron Ashuza, who is at the shore, told the BBC he saw bodies being pulled out of the river and said the injured had been taken to hospital.

At least two children died after they were taken to hospital after the accident, according to AFP.

Such accidents are common in DR Congo, where boats are frequently overcrowded with passengers who are rarely given safety jackets and often cannot swim.

Rescue operations are made difficult as some ships rarely have passenger manifests

Source: BBC
 
Pole sana wana Kivu, Boti imepinduka karibu na kufika mwisho wa safari
Kwa DRC ni kitu cha kawaida sana,mwaka 2019 meli imezama ktk port ya kalundu(uvira) huku nashuhudia, ilitoka kalemii ikafika hapo bandarini usiku wa manane,ikatia nanga ili asabuhi ndio abiria wateremke!!ikazama hapo bandarini,na watu wengi walipoteza maisha,lile tukio hadi leo halijatoka akilini mwangu.
 
Bizarre! Boti limejaa watu kupita kiasi. Mkao wa Mzigo (abiria) ulikuwa ovyo sana. Kwa kiasi kikubwa, vimechangia kupindua boti kirahisi rahisi tu. RIP waliopoteza maisha na pole kwa wote walioathirika.
 
Kwa DRC ni kitu cha kawaida sana,mwaka 2019 meli imezama ktk port ya kalundu(uvira) huku nashuhudia, ilitoka kalemii ikafika hapo bandarini usiku wa manane,ikatia nanga ili asabuhi ndio abiria wateremke!!ikazama hapo bandarini,na watu wengi walipoteza maisha,lile tukio hadi leo halijatoka akilini mwangu.
Boti zao huwa zinabeba mizigo mingi na abiria wengi wao hawaangalii stability ya boti.
 
Kwa DRC ni kitu cha kawaida sana,mwaka 2019 meli imezama ktk port ya kalundu(uvira) huku nashuhudia, ilitoka kalemii ikafika hapo bandarini usiku wa manane,ikatia nanga ili asabuhi ndio abiria wateremke!!ikazama hapo bandarini,na watu wengi walipoteza maisha,lile tukio hadi leo halijatoka akilini mwangu.
Hii yote ni sababu ya ukosefu wa Barabara nzr hivyo watu wanajazana kwenye meli.

Mv Bukoba yalikuwa yaleyale ..hakukuwepo Barabara nzr kuunganisha Bukoba kipindi hicho zaidi kutumia meli kupitia mwanza au kuzunguka kampala...

Lakini maendeleo yamekuja Bukoba either unyooshe na katarama scania mpaka Bukoba bila kukanyaga shimo...mkeka safi

Au ubook flight Air Tanzania mpaka Bukoba Airport

Au uende mwanza ulale kidogo upande meli ya mv Victoria anbayo mara nyingi haijai...

Au upande basi kutoka mwanza uzungukie geita na chato to Bukoba kote mkeka hukonn..tena magu kajitahidi zaidi kajenga Magufuli bridge...hakuna kuvuka maji kabisa kuanzia December.

Pamoja na ufisadi mwingi lakini Tanzania imejitahidi sana kimiundombinu hapa East Africa. Congo wanapaswa kufanya hivyo
 
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma)

Video inayosambaa Mtandaoni inaonyesha boti hiyo ikiinamia upande mmoja na kisha kuzama

Idadi kamili ya Watu waliokuwepo ndani ya Boti haijafahamika japokuwa Mtandao wa Reuters umedai huenda ilibeba takribani Watu 200 lakini walioandikishwa walikuwa 80 (Wanaume 45 na Wanawake 35.
---

At least 20 die as ferry capsizes on DR Congo lake

least 20 bodies have been recovered from Lake Kivu in eastern Democratic Republic of Congo, after a ferry capsized just a few hundred metres from its destination.

The boat was travelling from the town of Minova in South Kivu and sank as it was arriving on Goma's shore on Thursday morning.

A video circulating online shows the boat tilting to one side and then sinking.

It is still unclear how many people were on board, but several survivors told Reuters news agency it may have been carrying at least 200 people

Reuters cited a local migration authority saying around 45 males and 35 females were registered as passengers, but their ages have not been verified.

A local activist, Aaron Ashuza, who is at the shore, told the BBC he saw bodies being pulled out of the river and said the injured had been taken to hospital.

At least two children died after they were taken to hospital after the accident, according to AFP.

Such accidents are common in DR Congo, where boats are frequently overcrowded with passengers who are rarely given safety jackets and often cannot swim.

Rescue operations are made difficult as some ships rarely have passenger manifests

Source: BBC
Africa is a real hell!
 
Hii yote ni sababu ya ukosefu wa Barabara nzr hivyo watu wanajazana kwenye meli.

Mv Bukoba yalikuwa yaleyale ..hakukuwepo Barabara nzr kuunganisha Bukoba kipindi hicho zaidi kutumia meli kupitia mwanza au kuzunguka kampala...

Lakini maendeleo yamekuja Bukoba either unyooshe na katarama scania mpaka Bukoba bila kukanyaga shimo...mkeka safi

Au ubook flight Air Tanzania mpaka Bukoba Airport

Au uende mwanza ulale kidogo upande meli ya mv Victoria anbayo mara nyingi haijai...

Au upande basi kutoka mwanza uzungukie geita na chato to Bukoba kote mkeka hukonn..tena magu kajitahidi zaidi kajenga Magufuli bridge...hakuna kuvuka maji kabisa kuanzia December.

Pamoja na ufisadi mwingi lakini Tanzania imejitahidi sana kimiundombinu hapa East Africa. Congo wanapaswa kufanya hivyo
Kwa hali ya kiusalama congo ni ngumu sana,kuwaza miundo mbinu hasa huko mashariki,umbali wa km 100 kutoka uvira hadi bukavu unatembea zaidi ya masaa 12!!
 
Afrika matatizo ni yaleyale.
1.poor infrastructure
2.corruption
3.poor education(Mfano hiyo meli ilibeba idadi kubwa kuzidi uwezo)
4poor leadership.eg kizimkazi
 
Back
Top Bottom