DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

Nimepitia Uzi mahali fulani eti Congo wanatoa USD 5m kwa atakayemtia nguvuni nanga sawa na tsh 125 m kwa mkulima makini kwa msimu,jibu langu Cha kufia nn,nikasema is he serious,wekeni Katanga MTU aanzishe nchi yake muone kesho yupo mikononi,achieni chezea uwezo wa watu
Noma sana!
 
Rudi darasani kijana, unajua USD moja ni sawa na tsh ngapi?? Ukiambiwa mrudi shule mnakua wakali
 
Nimepitia Uzi mahali fulani eti Congo wanatoa USD 5m kwa atakayemtia nguvuni nanga sawa na tsh 125 m kwa mkulima makini kwa msimu,jibu langu Cha kufia nn,nikasema is he serious,wekeni Katanga MTU aanzishe nchi yake muone kesho yupo mikononi,achieni chezea uwezo wa watu
Unaelewa usd 5m kwa tsh ni ngapi? Fanya homework alafu sahihisha hicho kiasi uliandika na mantiki ya uzi wako pia

Asante
 
Nimepitia Uzi mahali fulani eti Congo wanatoa USD 5m kwa atakayemtia nguvuni Nangaa sawa na ksh 6 m kwa mkulima makini kwa msimu,jibu langu nikasema is he serious,wekeni Katanga MTU aanzishe nchi yake muone kesho yupo mikononi,achieni chezea uwezo wa watu,mganga anataka USD 1 m,jasusi na komandoo 3 m,master mind abaki na nn,Bado other expenses,hivi wanamjua gharama za surveillance au wanaibuka tu
Congolese Franc inaachwa
 
Nimepitia Uzi mahali fulani eti Congo wanatoa USD 5m kwa atakayemtia nguvuni Nangaa sawa na ksh 6 m kwa mkulima makini kwa msimu,jibu langu nikasema is he serious,wekeni Katanga MTU aanzishe nchi yake muone kesho yupo mikononi,achieni chezea uwezo wa watu,mganga anataka USD 1 m,jasusi na komandoo 3 m USD,master mind abaki na nn,Bado other expenses,hivi wanamjua gharama za surveillance au wanaibuka tu
125 mil
Umesoma shule gan samahani kuuliza
 
Back
Top Bottom