DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

Noma sana!
 
Rudi darasani kijana, unajua USD moja ni sawa na tsh ngapi?? Ukiambiwa mrudi shule mnakua wakali
 
Unaelewa usd 5m kwa tsh ni ngapi? Fanya homework alafu sahihisha hicho kiasi uliandika na mantiki ya uzi wako pia

Asante
 
Congolese Franc inaachwa
 
125 mil
Umesoma shule gan samahani kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…