Hi wadau wa JamiiForum,Wengi wetu tuliopita UDSM faculty of Engineering then pCET then COET now CoICT mtakuwa mnamfahama huyu mheshimiwa sana Dr. Haule, he was a Telecommunications/Electronics Guru. Kwa habari nilizozipata na kuziconfirm hatunaye tena mtaalamu wetu huyu, ametutoka jana.RIP Dr. Haule, surely you contributed a lot to us calling ourselves Engineers nowadays. Utakumbukwa daima
Updates from UDASA
Tunasikitika kuwajulisha kuwa mwenzetu Dr. Damian D. Haule amefariki jana jioni katika hospitali ya Kairuki - Mikocheni alikopelekwa kwa matibabu. Mwili wake bado umehifadhiwa huko Kairuki na msiba uko nyumbani kwake Mtaa wa Kileleni nyumba na 8. Kwa taarifa za awali ni kwamba mwili wake utasafirishwa kwenda Ludewa - Njombe kwa mazishi. Dr. Haule alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Telecommunications Electronics, College of Engeneering (Nimekosa Kiswahili cha Telecommunications). Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, na awape faraja na matumaini wanafamilia wake aliowaacha duniani.