Dr. D.D Haule is no more

wasipemba

Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
89
Reaction score
24
Hi wadau wa JamiiForum,Wengi wetu tuliopita UDSM faculty of Engineering then pCET then COET now CoICT mtakuwa mnamfahama huyu mheshimiwa sana Dr. Haule, he was a Telecommunications/Electronics Guru. Kwa habari nilizozipata na kuziconfirm hatunaye tena mtaalamu wetu huyu, ametutoka jana.RIP Dr. Haule, surely you contributed a lot to us calling ourselves Engineers nowadays. Utakumbukwa daima


Updates from UDASA

Tunasikitika kuwajulisha kuwa mwenzetu Dr. Damian D. Haule amefariki jana jioni katika hospitali ya Kairuki - Mikocheni alikopelekwa kwa matibabu. Mwili wake bado umehifadhiwa huko Kairuki na msiba uko nyumbani kwake Mtaa wa Kileleni nyumba na 8. Kwa taarifa za awali ni kwamba mwili wake utasafirishwa kwenda Ludewa - Njombe kwa mazishi. Dr. Haule alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Telecommunications Electronics, College of Engeneering (Nimekosa Kiswahili cha Telecommunications). Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, na awape faraja na matumaini wanafamilia wake aliowaacha duniani.
 
RIP Dr. D. D. Haule!! We all follow the same road, the difference is the time to departure.
 
RIP Dr Haule... vp pombe nini? maana hata ule mguu nilisikia aliumia kwenye pombe.
 
Faraja kwa familia yake - Mungu awape wakati huu mgumu.
 
RIP Dr Haule,taifa alimepoteza mtaalam makini.
 
pumzika kwa amani mkuu wema wanakufa mafisadi wanabaki
 
Jumuiya ya Wahandisi tunasikitika sana , Mungu ampumzishe kwa Amani
 
Jina la Bwana lihimidiwe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
RIP Dr. Haule. Pole kwa familia na wafiwa wote. Mungu awape nguvu, uvumilivu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
 
Wajivuni watamiss sana Mboga mboga zake

kumbe ww mwana coet eeh!! safi sana.

RIP jembe letu Haule tutakukumbuka kwa Lab zako ngumu na mitiani migumu ya electronics...........nakumbuka wakat wa final year project ukipangiwa D.D ni vilio!!.....mboga mboga za k_map hapana chezea king kong 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…