daah mbaya sana aisee mzee wa finite state machine.. daah pumzika kwa amani dr haule taifa na umma wa wahandisi wote tuliopita mikononi mwako tutakukumbuka..
R.I.P bingwa wa Supplementary!!!!!!! Dah ila pome alishapunguza au makali yale yale? Maana ukiwa mgonjwa halafu wewe ni wa pombe hata dose hukamati sawa sawa!! Tumempoteza geneous!!!