Dr. Dre ashtakiwa kwa madai ya unyanyasaji wa Mwanasaikolojia wake, adaiwa fidia ya Tsh. Bilioni 27.2

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
1728542350727.png

Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake.

Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre alianza kumtumia Jumbe za vitisho, vurugu, na maneno ya chuki usiku ikiwa ni baada ya kumsaidia kusuluhisha migogoro iliyokuwepo kati ya Dre na Nicole aliyekuwa Mke wake, kabla hawajapeana talaka.

Ndoa ya wawili hao ilivunjika rasmi Desemba 2021 baada ya Nicole kufungua Kesi ya kudai Talaka mwaka 2020 ikiwa ni miaka 24 tangu walipooana. Nicole alimtuhumu Dre kwa unyanyasaji na kutaka malipo ya zaidi ya Tsh. Bilioni 200.

=========

Dr. Dre is facing a $10 million (£7.7 million) lawsuit accusing him of a "malicious campaign of harassment".

The suit has been filed by a psychiatrist who served as a marriage counsellor and mediator for the rapper and his ex-wife before and during their divorce.

In a case filed in a Los Angeles court and reported by Billboard, Dr Charles J Sophy claimed Dre (real name Andre Young) had subjected him to an "ongoing barrage of threats" after he had "worked diligently" to help him resolve his disputes with his then-wife, Nicole Young.

"Rather than treating the mediation process as an opportunity for healing, (Dre) decided to take his frustrations about the mediation out on Dr Sophy - frustrations that manifested themselves in the form of a nearly year-long sustained campaign of late-night texts, threats of intimidation and violence, and homophobic rhetoric," wrote the doctor's lawyer, Christopher Frost.

The lawsuit seeks a restraining order against further harassment, as well as monetary damages that the accuser's attorneys say should total at least $10 million (£7.7 million). Dre is yet to comment on the accusations.

Young filed for divorce from Dre in 2020 after 24 years of marriage, citing allegations of abusive behaviour that Dre vehemently denied. After another 18 months of legal wrangling, the couple finalised their divorce in December 2021 with a $100 million (£77 million) settlement.
 
View attachment 3120511

Waafrika hawana IQ ya Ustaarabu ni mwendo wa vitisho,manyanyaso nk ndio maana hizo sheria za huko West wakisema wazilete Bongo hakuna atakayekuwa salama.
 
Ni zama za kuwafilisi Blackd kwa kuwachafua ili warudi Afrika wakiwa masikini...mtu mwenye sura angavu hakuwahi kua rafiki wa mtu mweusi
Kuwachafuaje,kesi inaenda mahakamani ,wanaweka mawakili wa uhakika lakini wanashindwa.
 
Waafrika hawana IQ ya Ustaarabu ni mwendo wa vitisho,manyanyaso nk ndio maana hizo sheria za huko West wakisema wazilete Bongo hakuna atakayekuwa salama.
ushakaa na wazungu ukawaona vyema..?
waafrika ni wastaarabu,huyo ameona fursa tu anataka kuitumia
 
Ni zama za kuwafilisi Blackd kwa kuwachafua ili warudi Afrika wakiwa masikini...mtu mwenye sura angavu hakuwahi kua rafiki wa mtu mweusi
Walianza na Michael Jackson kwenye kesi ya kudhalilisha watoto kijinsia
 
View attachment 3120511
Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake.

Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre alianza kumtumia Jumbe za vitisho, vurugu, na maneno ya chuki usiku ikiwa ni baada ya kumsaidia kusuluhisha migogoro iliyokuwepo kati ya Dre na Nicole aliyekuwa Mke wake, kabla hawajapeana talaka.

Ndoa ya wawili hao ilivunjika rasmi Desemba 2021 baada ya Nicole kufungua Kesi ya kudai Talaka mwaka 2020 ikiwa ni miaka 24 tangu walipooana. Nicole alimtuhumu Dre kwa unyanyasaji na kutaka malipo ya zaidi ya Tsh. Bilioni 200.

Dr. Dre is facing a $10 million (£7.7 million) lawsuit accusing him of a "malicious campaign of harassment".

The suit has been filed by a psychiatrist who served as a marriage counsellor and mediator for the rapper and his ex-wife before and during their divorce.

In a case filed in a Los Angeles court and reported by Billboard, Dr Charles J Sophy claimed Dre (real name Andre Young) had subjected him to an "ongoing barrage of threats" after he had "worked diligently" to help him resolve his disputes with his then-wife, Nicole Young.

"Rather than treating the mediation process as an opportunity for healing, (Dre) decided to take his frustrations about the mediation out on Dr Sophy - frustrations that manifested themselves in the form of a nearly year-long sustained campaign of late-night texts, threats of intimidation and violence, and homophobic rhetoric," wrote the doctor's lawyer, Christopher Frost.

The lawsuit seeks a restraining order against further harassment, as well as monetary damages that the accuser's attorneys say should total at least $10 million (£7.7 million). Dre is yet to comment on the accusations.

Young filed for divorce from Dre in 2020 after 24 years of marriage, citing allegations of abusive behaviour that Dre vehemently denied. After another 18 months of legal wrangling, the couple finalised their divorce in December 2021 with a $100 million (£77 million) settlement.
Wanamuziki weusi wenye utajiri wa 300milUSD+ watakaangwa wote
 
Back
Top Bottom