Dr. Emmanuel Makaid na mkewe wafanikiwa kuteuliuwa kupitia NLD

Dr. Emmanuel Makaid na mkewe wafanikiwa kuteuliuwa kupitia NLD

Hollyman

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
283
Reaction score
77
Mwenyekit Wa Chama Cha Nld Bwana Makaidi Aliwasilisha Majina Mawili Tu La Kwake Na Mkewe Akiomba Uteuz, Inavyoelekea Aliteuwa Kmyakmya Na Kuwazunguka Wanachama Wengine Sasa Wanachawa Wamechachamaaa Kweli, Kwa Hyo Bwan Makaid Anauhakika Wa Kukunja 42Million.
 
Du hii dhambi ya ubinafsi mbaya sana' na huyu alilenga posho.si kutuletea katiba mpya'
 
Ccm ndiyo balaa baba akifariki akitoka madarakani mtoto anarithi!eg nnauye mwinyi kawawa makamba malima Karume etc
 
Dah huyu mzee ni mbishi kitambo sana, nakumbuka nilisoma na mtoto wake mwaka 1991 shule ya sekondari Navy kigamboni anaitwa Lugano Makaidi kwa sasa ni marehemu alikufa akiogelea kigamboni na alikuwa mchezaji mzuri sana wa basket, jamaa alikuwa na ndoto kuwa chama cha babake kitaingia ikulu lkn alipotezwa kabisa ndio nasikia leo kaibukia bungeni na mkewe, I wish jamaa angekuwa hai maana alikuwa anaongea utadhani kameza kanda.
 
hii inaitwa kujaribu zari, unaandika yote mawili ukikosa wewe basi mimi! then yakitajwa majina yote mawili ndani
 
kuna wakti inabidi uteue kama makaidi, unatua mtu unayemuamini na unajua huyu anakipigania chama kwa dhati ya moyo wake, chama kama NLD kitapata wapi wapambanaji wafia chama zaidi ya makaidi na mke wake? hongera mwenyekiti
 
Bora arudishe kidogo gharama zake anazotumia kendesha chama. Hata kukianzisha aliingia gharama mpaka kupata usajili hata hivyo akitoa matumizi anaweza kubaki na faida kidogo.
 
imeshajulikana kuwa wamechakachua kupata ujumbe huo wa posho. Jamani kwa nini hawafutiwi uteuzi mara moja kwa nia yao hiyo mbaya?
 
Back
Top Bottom