Dah huyu mzee ni mbishi kitambo sana, nakumbuka nilisoma na mtoto wake mwaka 1991 shule ya sekondari Navy kigamboni anaitwa Lugano Makaidi kwa sasa ni marehemu alikufa akiogelea kigamboni na alikuwa mchezaji mzuri sana wa basket, jamaa alikuwa na ndoto kuwa chama cha babake kitaingia ikulu lkn alipotezwa kabisa ndio nasikia leo kaibukia bungeni na mkewe, I wish jamaa angekuwa hai maana alikuwa anaongea utadhani kameza kanda.